Skip to main content

Maombi ya Usaidizi na Marekebisho ya Lugha (Swahili)

Tunatoa huduma za bila malipo za usaidizi wa lugha kwa nyenzo zote za Ofisi Kuu ya Utangazaji. Ikiwa unazungumza lugha nyingine isipokuwa Kiingereza au unahitaji marekebisho yanayofaa kwa mawasiliano bora, tafadhali wasiliana na Elle O'Casey kwa kupiga simu 802-760-9967 au kutuma barua pepe kwa elle.ocasey@vermont.gov. Kwa chaguo za ziada, tembelea ukurasa wetu wa Huduma za Lugha.

Kanusho la Sera ya Faragha na Tafsiri ya Tovuti

Tovuti: cmo.vermont.gov

Mawasiliano: Elle O’Casey

Anwani ya Barua Pepe: elle.ocasey@vermont.gov

Nambari ya Simu: 802-760-9967

Tovuti hii inaweza kutafsiriwa ili kukurahisishia mambo kwa kutumia Tafsiri ya Google au programu nyingine ya tafsiri ya kiotomatiki. Tafsiri ya tovuti inayofanywa Tafsiri ya Google au programu mbadala ya kutafsiri inaweza kuwa na makosa na kutegemea tafsiri ya namna hiyo hasara yake ni juu yako mwenyewe. Baadhi ya faili au vipengee haviwezi kutafsiriwa, ikiwa ni pamoja na picha, michoro na PDF. Hakuna uwakilishi, dhamana au udhinishaji wa aina yoyote unaotolewa kuhusiana na usahihi, kutegemeka au ukamilifu wa taarifa yoyote iliyotafsiriwa na mifumo hii. Tofauti au makosa yoyote yanayoundwa katika tafsiri ya kompyuta ya tovuti hii kutoka Kiingereza kwenda lugha nyingine yoyote hayawezi kuwa ya kimamlaka na hayana athari ya kisheria.

Hasa, Google inahitaji kwamba kanusho lifuatalo kwa tafsiri hizi litolewe:

"Huduma hii huenda ikajumuisha tafsiri zinazowezeshwa na Google. Google inakanusha dhamana zote zinazohusiana na tafsiri, zilizo wazi au za kudokezwa, ikiwa ni pamoja na dhamana yoyote kwa usahihi, kutegemeka na dhamana yoyote iliyodokezwa ya ubora wa uuzikaji, ufaafu kwa kusudi fulani, na kutokiuka."