Skip to main content

Maombi ya Usaidizi na Marekebisho ya Lugha (Swahili)

Tunatoa huduma za bila malipo za usaidizi wa lugha kwa nyenzo zote za Ofisi Kuu ya Utangazaji. Ikiwa unazungumza lugha nyingine isipokuwa Kiingereza au unahitaji marekebisho yanayofaa kwa mawasiliano bora, tafadhali wasiliana na Elle O'Casey kwa kupiga simu 802-760-9967 au kutuma barua pepe kwa elle.ocasey@vermont.gov. Kwa chaguo za ziada, tembelea ukurasa wetu wa Huduma za Lugha.

Hapa kuna chaguo za ziada za usaidizi wa lugha.

Tafsiri ya Google

Huduma ya bila malipo Google inayotafsiri kurasa za wavuti mara moja. Kuna mapungufu katika huduma hii. Tafadhali soma Kanusho la Tafsiri ya Google hapo chini.